Bandari Kuu ya Musoma, ambayo ilikuwa imefungwa kwa zaidi ya miaka mitano na kufunguliwa rasmi katika uongozi wa Rais John Magufuli, imeongeza makusanyo yake kutoka Sh. milioni mbili hadi Sh. milioni 42 kwa mwezi.Bandari Kuu ya Musoma, ambayo ilikuwa imefungwa kwa zaidi ya miaka mitano na kufunguliwa rasmi katika uongozi wa Rais John Magufuli, imeongeza makusanyo yake kutoka Sh. milioni mbili hadi Sh. milioni 42 kwa mwezi.