Maktaba Kiungo: Bunge

BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA

Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …

Soma zaidi »

LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania.   Fuatilia moja kwa moja …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS;Elimu inahitajika kuzuia viumbe wageni/vamizi

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni vema kama nchi kujipanga mapema kuhakikisha kwamba viumbe vamizi hawaendelei kushamiri ili kuepusha Taifa kuingia kwenye gharama kubwa za kukabiliana na janga hilo hapo baadaye. “Pamoja na kwamba viumbe hawa ni janga la kiuchumi, kimazingira na kiafya lakini bado halijashughulikiwa kikamilifu hususani …

Soma zaidi »