Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za MWENGE WA uhuru ambayo hufanyika baada ya kukimbizwa nchi nzima na akisha kuzimwa tarehe 14 Oktoba kila mwaka, tarehe na mwezi ambao ni kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

  • Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga.
  • Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi
  • Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania.

 

Fuatilia moja kwa moja kupitia link hii

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  amewaapisha viongozi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *