Maktaba Kiungo: Dodoma inajengwa

KIPAUMBELE CHA WIZARA NI KUPELEKA NISHATI KWA WANANCHI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaeleza watumishi wa Wizara ya Nishati kuwa kipaumbele cha Wizara ni kupeleka nishati kwa wananchi ikiwamo ya Umeme na Gesi hivyo amewaasa kushirikiana kwa pamoja na kufanya kazi kwa weledi. Dkt. Kalemani alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara …

Soma zaidi »

WADAU WA KUANDAA MPANGO KAZI WA PILI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU 2019-2023 WAKUTANA

Wadau wa kuandaa Mpango Kazi wa Pili wa Kitaifa wa Haki za Binadamu 2019-2023 wanakutana kama kamati kupitia maoni ya mtaalamu mshauri kwa ajili ya kuandaa mpango huo. Kikao hicho kinafanyika mjini Singida kimefunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ambaye amewataka wadau hao wahakikishe …

Soma zaidi »

SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWA BAADHI YA BIDHAA

Serikali imeendelea kutoa msamaha wa kodi kwa baadhi ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi na kutoza kodi zaidi kwenye bidhaa zinazoingia nchini ili kuhakikisha bidhaa za wazalishaji wa ndani zinalindwa. Akizungumza  Bungeni leo jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Injiania Stella Manyanya  alisema kuwa Serikali imeendelea kutoa msamaha wa …

Soma zaidi »