Serikali imesema iko katika hatua za awali za kuandaa mpango wa uagizaji wa gesi ya mitungi (LPG) kwa pamoja kama ilivyo kwa mafuta ya Petroli hali itakayosaidia kudhibiti masuala mbalimbali ikiwemo bei ya gesi hiyo . Akizungumza wakati wa semina kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEKELEZA NDOTO YA BABA WA TAIFA KWA KUZINDUA MJI WA SERIKALI
RAIS DKT. MAGUFULI AMEFUNGUA MAJENGO YA IKULU CHAMWINO
LIVE:HAFLA YA UZINDUZI WA MJI MPYA WA SERIKALI IHUMWA,DODOMA
LIVE CATCH UP: HAFLA YA UFUNGUZI WA MAJENGO MAPYA YA IKULU CHAMWINO
WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KENYA NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu mapema katika ofisi zake Jijini Dodoma. Lengo la mazungumzo hayo ilikuwa kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ambavyo Kenya inavyoweza kushirikiana na Tanzania katika masuala ya uwekezaji ambapo …
Soma zaidi »TUNATAKA KURAHISISHA MAZINGIRA BIASHARA YA MADINI – BITEKO
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara yake inalenga kurahisisha Mazingira ya Biashara ya Madini ikiwemo kuwalea wachimbaji na kuwataka wafanyabiashara na wachimbaji kuhakikisha wanajisimamia wenyewe kwa manufaa yao na Taifa. Waziri Biteko ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wakiongozwa na …
Soma zaidi »WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
LIVE: BUNGE-HATI ZAWASILISHWA MEZANI
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI- CAG WAZIRI MKUU WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA) MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI …
Soma zaidi »