Soma zaidi »
LIVE : UJIO WA AIRBUS A220-300 NGORONGORO.
WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI ENEO LA IHUMWA JIJINI DODOMA
Akuta baadhi ya wakandarasi wanasuasua, wengine wako vizuri Aitisha kikao cha Mawaziri, Makatibu Wakuu wote kesho saa 5 asubuhi Ataka leo jioni apewe taarifa ya kila taasisi inayohusika Ihumwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa eneo la Mji wa Serikali lililoko Ihumwa na kubaini kuwa baadhi ya wakandarasi hawaendi …
Soma zaidi »“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ
Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA DARAJA JIPYA SELANDER NA BARABARA UNGANISHI TOKA AGA KHAN HADI COCO BEACH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja jipya la Selander linalounganisha eneo la Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AUNGANA WAUMINI WA DINI NYA KIISLAMU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BAKWATA
LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MIAKA 50 YA BAKWATA
Ni vigumu ukishasifiwa maeneo mengine yote halafu ukakuta eneo unalolisimamia usisifiwe – Rais Magufuli
Nukuu za Rais Dkt. John Magufuli katika Kikao kilichowakutanisha viongozi Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara. “Na saa nyingine huwa ni vigumu ukishasifiwa maeneo mengine yote halafu ukakuta eneo unalolisimamia usisifiwe, huwa linavunja moyo. Lakini ni vyema niwaeleze ukweli na nitatoa …
Soma zaidi »LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE
Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii; …
Soma zaidi »