Maktaba Kiungo: John Pombe Joseph Magufuli

BENKI YA DUNIA IMERIDHIA KUTOA DOLA ZA MAREKANI MILION 300

Benki ya Dunia imeridhia kutoa Dola za Marekani Milioni 300 sawa na shilingi Bilioni 680.5 kwa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza ubora wa elimu ya sekondari unaokusudiwa kujenga vyumba vya madarasa, mabweni, maabara, nyumba za watumishi na kununua vifaa vya kufundishia. Makamu wa Rais wa Benki …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.

Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …

Soma zaidi »

Serikali Itaendelea Kushirikiana na Kanisa katika Kudumisha Amani na Upendo – Rais Magufuli

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki hapa nchini kuadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara. Misa Takatifu ya maadhimisho ya Jubilei hiyo ambayo imefanyika Bagamoyo Mkoani Pwani ambako Ukristo uliingia mwaka 1868 imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi nchini …

Soma zaidi »