RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 – 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
LIVE: HAFLA YA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA AIRBUS A220-300
AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGA KOZI YA MAAFISA NA WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUWATUNUKU VYEO WAHITIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA DARAJA JIPYA SELANDER NA BARABARA UNGANISHI TOKA AGA KHAN HADI COCO BEACH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja jipya la Selander linalounganisha eneo la Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya …
Soma zaidi »MIMI JUKUMU LANGU NI KUFANYA KAZI – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AUNGANA WAUMINI WA DINI NYA KIISLAMU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BAKWATA
Sote ni mashahidi wa namna lugha ya Kiswahili imeendelea kukua kwa kasi – Makamu wa Rais
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Jamii kubadili fikra kwa kuchunguza na kufikiria jinsi ya kutumia vipengele mbalimbali vya lugha ya Kiswahili na Utamaduni wake kama bidhaa ya biashara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Chama …
Soma zaidi »Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …
Soma zaidi »