Maktaba Kiungo: KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

RAIS DKT MAGUFULI NA UHURU KENYATA KUZINDUA KITUO CHA FORODHA CHA PAMOJA Disemba 1, 2018

Dkt John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata  kesho wanatarajia kuzinduwa kituo cha Forodha cha pamoja Namanga One Stop Bonder Point.Aidha Disemba 2,  mwaka huu Rais John Magufuli ataweka jiwe la Msingi la mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya sh bilioni 520  katika Jiji la Arusha na baadhi ya maeneo …

Soma zaidi »

Tanzania Inazalisha Chakula Kingi Cha Kutosha – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI NA MKURUGENZI WA CRDB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Hamdi Abuali, Balozi wa Palestina; Mhe. Shinichi Goto, Mhe. Balozi wa Japan na Bwana Abdulmajid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Makamu wa Rais alianza kuonana na Mhe. Hamdi …

Soma zaidi »