Maktaba Kiungo: KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

Ni vigumu ukishasifiwa maeneo mengine yote halafu ukakuta eneo unalolisimamia usisifiwe – Rais Magufuli

Nukuu za Rais Dkt. John Magufuli katika Kikao kilichowakutanisha viongozi Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara. “Na saa nyingine huwa ni vigumu ukishasifiwa maeneo mengine yote halafu ukakuta eneo unalolisimamia usisifiwe, huwa linavunja moyo. Lakini ni vyema niwaeleze ukweli na nitatoa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477

Ndugu Wananchi na Ndugu Watanzania Wenzangu; Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza. Napenda, kwanza kabisa, kutumia fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wazee wetu wote, wakiongozwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kufanikisha …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA KWA PAMOJA MPAKANI NAMANGA

Kituo hicho ni miongoni mwa vituo 15 vya OSBP vinavyojengwa katika mipaka ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kurahisisha ufanyaji wa biashara miongoni mwa nchi hizo, kuharakisha huduma za mpakani, kuongeza mapato na kuimarisha usalama. Ujenzi wa kituo cha Namanga OSBP umefadhiliwa na Benki ya …

Soma zaidi »