Maktaba Kiungo: Mhe. Samia Suluhu Hassan

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO NA MASHINE ZA TIBA ZA LINAC KATIKA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la saratani kwa Watanzania linaweza kupungua ama kuondokana nalo endapo kutakuwa na tabia ya kupima afya zetu mara kwa mara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa jengo na mashine mpya za tiba …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA TABASAMU AKAUNTI MAALUM KWA AJILI YA WANAWAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Tano imefanya jitihada kubwa kuweka mazingira mazuri ya kisera na kimifumo ili kuchochea ukuaji wa sekta ya fedha hapa nchini. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Akaunti …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 26, Machi 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Ndugu Theobald Maingu Sabi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi huyo amefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAISA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez, Ikulu jijini Dar …

Soma zaidi »