Maktaba Kiungo: MKOA WA SIMIYU

MKANDARASI ASAINI MKATABA MRADI WA MAJI NYASHIMO WILAYANI BUSEGA

Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (MWAUWASA) imesaini mkataba na mkandarasi kampuni ya BENNET Contractors, kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji kwa wakazi wa Kata ya Nyashimo, Wilaya Busega mkoani Simiyu. Mkataba huo umesainiwa Mei 10, 2019 na kushuhudiwa na wananchi pamoja …

Soma zaidi »

UJERUMANI YATOA MSAADA WA SH. BILIONI 330 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI MKOA WA SIMIYU

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya  Maendeleo (KfW), imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 127.7, sawa na sh. bilioni 330, kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria katika mkoa wa Simiyu. Makubaliano ya msaada huo kupitia …

Soma zaidi »

SIMIYU KUPATA CHUPA MILIONI TATU ZA VIUDUDU KWA ZAO LA PAMBA

Mkoa wa Simiyu utapokea chupa milioni tatu  za viuadudu katika msimu huu wa mwaka 2018/2019 lengo likiwa kukabiliana na changamoto ya wadudu  waharibifu wa zao la hilo. Mkurugenzi Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omari Mgumba mkoani Simiyu …

Soma zaidi »