SIMIYU KUPATA CHUPA MILIONI TATU ZA VIUDUDU KWA ZAO LA PAMBA

  • Mkoa wa Simiyu utapokea chupa milioni tatu  za viuadudu katika msimu huu wa mwaka 2018/2019 lengo likiwa kukabiliana na changamoto ya wadudu  waharibifu wa zao la hilo.
  • Mkurugenzi Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omari Mgumba mkoani Simiyu Machi 06, 2019 ambapo amebainisha kuwa tayari bodi imeshasambaza chupa milioni moja na laki tatu za viuadudu hivyo kwa mkoa huu na kuongeza Simiyu pekee   itapokea chupa milioni tatu za viuadudu kwa msimu huu.
  • Akiwa ziarani mkoani Simiyu Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omary  Mgumba  amesema suala la mbegu za pamba limeenda vizuri  hivyo ni vema likaenda sambamba na usambazaji wa viuadudu na kuongeza kuwa wakulima  wa zao hilo wameongezeka kutokana na zao hilo kufanya vizuri hususani mkoa wa Simiyu ambao umeongoza kwa uzalishaji ikilinganishwa na mikoa mingine inayolima pamba hapa nchini.
  • “Suala la mbegu lilienda vizuri lakini kubwa zaidi ni mahitaji makubwa kuliko matarajio kutokana na hamasa mliyofanya mwaka jana watu wengi walihamasika kulima pamba, hata mwaka huu wengi zaidi watakuwa wamelima, maana wakulima wengi huwa wanahamasika kulima zao ambalo limefanya vizuri msimu uliopita” alisema Mgumba.
  • Awali akimkaribisha Naibu Waziri wa Kilimo,  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema kuwa lengo la mkoa ni kuongeza uzalishaji kwa ekari kuanzia kilo 500 hadi 1000 kwa ekari badala ya kuongeza idadi ya wakulima pekee.
  • “Tungehitaji kuongeza uzalishaji kwa ekari badala ya kuongeza uzalishaji kwenye idadi ya wakulima, mwaka 2018 tulivuna kilo milioni 113, mwaka huu uzalishaji utaongeza lakini unaweza kuongezeka kutokana na ongezeko la wakulima na ekari zilizolimwa; wakati tunaweza kupata kilo kama hizo kwenye pungufu ya ekari na idadi ya wakulima kama tutaongeza uzalishaji kwa ekari”
  • “Msukumo wa Mkoa ni kuona tunaongeza uzalishaji kwa ekari, ukienda Mwabusalu kuna wakulima wanazalisha kuanzia kilo 500 hadi 1000 kwa ekari , kwa hiyo kama mkoa tumejipanga kuhakikisha uzalishaji unaongezeka kwa ekari na idadi ya wakulima pia inaongeza” alisema Mtaka.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI, HOTELI YA GOLDEN TULIP AIRPORT ZANZIBAR

31 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Смотрите онлайн сериал Отчаянные домохозяйки https://domohozyayki-serial.ru в хорошем качестве HD 720 бесплатно, рейтинг сериала: 8.058, режиссер сериала: Дэвид Гроссман, Ларри Шоу, Дэвид Уоррен.

  3. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  4. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  5. Conor Anthony McGregor https://conor-mcgregor.com.az Irish mixed martial arts fighter who also performed in professional boxing. He performs under the auspices of the UFC in the lightweight weight category. Former UFC lightweight and featherweight champion.

  6. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  7. Minecraft news https://minecraft-ar.com, guides and in-depth reviews of the gaming features available in Minecraft Ar. Get the latest information on downloading Minecraft, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  8. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  9. Find out how Pedri https://barcelona.pedri-cz.com becomes a key figure for Barcelona – his development, influence and ambitions determine the club’s future success in world football.

  10. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  11. Study of the playing style of Toni Kroos https://real-madrid.toni-kroos-cz.com at Real Madrid: his accurate passing, tactical flexibility and influence on the team’s success.

  12. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  13. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  14. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  15. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  16. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  17. Travel to the pinnacle of French football https://stadede-bordeaux.bordeaux-fr.org at the Stade de Bordeaux, where the passion of the game meets the grandeur of architecture.

  18. Tyson Fury https://wbc.tyson-fury-fr.com is the undefeated WBC world champion and reigns supreme in boxing’s heavyweight division.

  19. Explore the remarkable journey of Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior.net, the Brazilian prodigy who conquered the world’s biggest stage with his dazzling skills and unparalleled ambition at Real Madrid.

  20. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  21. регистрация рио бет казино dacha76.ru

  22. реристрация Dragon Money Casino https://uvstyle.ru

  23. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  24. Bruno Miguel Borges Fernandes https://manchester-united.brunofernandes-br.com was born on September 8, 1994 in Maia, Portugal.

  25. Earvin “Magic” Johnson https://los-angeles-lakers.magicjohnson.biz is one of the most legendary basketball players in history. NBA history.

  26. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/cars в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  27. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  28. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  29. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  30. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *