Maktaba Kiungo: MKOA WA SINGIDA

SERIKALI KUPELEKA MAWASILIANO YA SIMU SINGIDA MASHARIKI

Serikali imeahidi kujenga mnara wa simu katika Kijiji cha Msule kilichopo kata ya Misugha jimbo la Singida Mashariki ili kuwasaidia wananchi kuondokana na changamoto iliyopo. Kufuatia ahadi hiyo imelielekeza Shirika la Mawasiliano Tanzania(TTCL)kujenga mnara huo na kuhakikisha hadi Agosti mwaka huu wawe wamewasha rasmi mawasiliano. Agizo hilo linafuatia ombi la …

Soma zaidi »

DKT.KALEMANI ATOA MWEZI MMOJA NGUZO ZILIZOHIFADHIWA ZISAMBAZWE

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewagiza mameneja wa Shirika la Umeme Nchini(TANESCO)wote nchini kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja wanasambaza kwa wateja  nguzo zote za akiba zilizohifadhiwa  katika vituo na maeneo mbalimbali nchini. Kalemani alisema hayo, Septemba 28,2019, baada ya kuona nguzo zaidi ya Elfu mbili zikiwa zimehifadhiwa katika kituo …

Soma zaidi »

MCHOME AKAGUA UTOAJI WA MSAADA WA KISHERIA MKOANI SINGIDA

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome atembelea mkoa wa Singida kukagua utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi. Prof Mchome yuko katika ziara ya ukaguzi wa huduma na maeneo yanayotolewa msaada wa kisheria ili kuona kama inaendana na matakwa ya Sheria ya Msaada wa Kisheria No …

Soma zaidi »