Maktaba Kiungo: OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA

LIVE:UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI, IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha Fedha na Mali. Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga anawasilisha taarifa ya utekelezaji huo kwa Mhe.Rais Ikulu Jijini Dar es salaam.Septemba …

Soma zaidi »

SERIKALI KUJENGA MTO MSIMBAZI

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID) inatekeleza mradi wa Tanzania Urban Resilience Programme (TURP) ambao umelenga kuzisaidia Halmashauri na Serikali Kuu katika kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. …

Soma zaidi »

BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …

Soma zaidi »