Maktaba Kiungo: OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inajivunia kufanya kazi kwa karibu na Nchi ya Rwanda kutokana na ukarimu mkubwa uliojengeka  kwa muda sasa kwa Wananchi wa Nchi mbili hizo. Makamu wa Rais amesema hayo leo alipokutana na Balozi wa Rwanda …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA DHAHABU YA TANZANIA ILIYOKAMTWA NCHINI KENYA MWAKA 2018

Rais Dkt. John Magufuli aipongeza Serikali ya Kenya kwa maamuzi yake ya kuirejeshea dhahabu zenye uzito wa kilo 35.34 zilizotoroshwa nchini Tanzania na Wafanyabiashara wasio waamini kwa njia ya magendo mwaka 2018. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi dhahabu pamoja na fedha taslimu akiwa pamoja na ujumbe wa Mawaziri na Watendaji …

Soma zaidi »

JAFO AONGEZA SIKU 30 UKAMILISHAJI WA HOSPITAL ZA WILAYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Halmashauri zote zinazoendelea na ujenzi wa Hospitali za Wilaya kukamilisha kazi zote za Ujenzi ifikapo Julai 30,2019. Jafo ameyasema hayo wakati alipotembelea Hospital ya Wilaya ya Singida inayojengwa katika eneo la …

Soma zaidi »