LIVE:UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI, IKULU DSM

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha Fedha na Mali. Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga anawasilisha taarifa ya utekelezaji huo kwa Mhe.Rais Ikulu Jijini Dar es salaam.Septemba 30,2019
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *