Maktaba Kiungo: Rais Live

RAIS MUSEVENI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA HAPA NCHINI KWA KUMTEMBELEA RAIS MAGUFULI KIJIJINI KWAKE CHATO GEITA

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 13 Julai, 2019 amefanya Ziara Binafsi ya siku 1 hapa nchini kwa kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani Wilaya ya Chato Mkoani wa Geita. Mhe. Rais …

Soma zaidi »

RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 06 Julai, 2019 amerejea nchini Kenya baada ya kumaliza ziara yake binafsi ya siku 2 aliyomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Kabla ya kuruka katika uwanja …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA UJIO WA RAIS KENYATTA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwa Rais wa kwanza wa nje kutembelea Wilaya ya Chato. Amesema kuwa ukiachilia mbali ujirani uliopo baina ya Tanzania na Kenya, pia kuna undugu kwa kuwa tunazungumza lugha moja, tunamuingiliano wa kijamii ikiwemo kuoana …

Soma zaidi »