Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuviondoa vijiji na vitongoji vinavyodaiwa kuwepo katika maeneo ya hifadhi na amewataka viongozi wa wizara zote zinazohusika kukutana ili kubainisha na kuanza mchakato wa kurasimisha maeneo ya vijiji na vitongoji hivyo. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: IKULU.. UTIAJI SAINI WA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL NA SERIKALI!
LIVE: Sherehe za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar
SERIKALI SASA KUMILIKI 49% YA HISA ZA AIRTEL
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo wamezungumzia maendeleo ya mazungumzo ya umiliki wa hisa za kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania. Baada ya mazungumzo hayo Bw. Sunil Mittal amesema kampuni yake imekubali …
Soma zaidi »LIVE : UJIO WA AIRBUS A220-300 NGORONGORO.
MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA(PTF) UNAFANYA VIZURI – NAIBU WAZIRI MWANJELWA
Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) umepongezwa kwa utekelezaji mzuri wa Sera ya Uchumi wa Viwanda inayohimizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutoa mikopo kwa makundi maalumu ya watu wenye ulemavu, akina mama na vijana wanaojihusisha na shughuli za ujasiriamali jijini …
Soma zaidi »LIVE;HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAUZIANO MAHINDI KATI YA NFRA NA WFP .IKULU DSM
RAIS MAGUFULI AREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA MALIPO YA WASTAAFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …
Soma zaidi »