Maktaba Kiungo: Rais Live

NAWAHAKIKISHIA MAJI YATAFIKA KOTE NCHINI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Akiwa Wilayani Kahama Makamu wa Rais alitembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kwennda katika miji …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS MTENDAJI MWANDAMIZI WA JICA KAZUHIKO KOSHIKAWA IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Februari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Naibu Waziri …

Soma zaidi »

SERIKALI INASOGEZA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI IRAMBA MKOANI SINGIDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo na amefanya ziara katika wilaya ya Iramba mkoani Singida. Katika Wilaya ya Iramba Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha muwekezaji mzawa cha kusindika alizeti cha Yaza …

Soma zaidi »

UJENZI WA DARAJA LA SIBITI UMEFIKIA ASILIMIA 94.8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameenndelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Singida ikiwa ni siku ya nne ya ziara mkoani humo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye eneo la mradi wa ujenzi wa Daraja Sibiti, Makamu wa Rais …

Soma zaidi »