Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dkt Tito Mwinuka ameeleza kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inalenga kutimiza adhma ya Serikali ya kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka 2025. Taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo ameitoa tarehe 23/10/2019 katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge …
Soma zaidi »REA KUTOA VYETI MAALUM KWA WAKANDARASI MAHIRI
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), itatoa vyeti maalum kwa wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini, watakaokamilisha kazi kwa wakati na viwango stahiki, ili kuwapa motisha na utambuzi utakaowapa sifa ya kupewa tenda nyingine mbalimbali na Serikali. Hayo yalibainishwa Oktoba 22, 2019 jijini Tanga, na Mwenyekiti wa Kamati ya …
Soma zaidi »NEEMA YA GESI ASILIA YANUKIA MIKOANI
Wizara ya Nishati (Tanzania) na Shirika la Maendeleo la Japani (JICA), Oktoba 17, 2019 walikutana katika ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kujadili Mkakati wa kufikisha gesi asilia katika mikoa mbalimbali nchini. Kikao hicho, kilichoongozwa na Kamishna wa Petroli na Gesi, Adam Zuberi, kilihudhuriwa pia …
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA TANESCO CHATO, GEITA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Tanesco katika Wilaya ya Chato na Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita zitakazokuwa na hadhi ya kimkoa ya Kitanesco. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 15 Oktoba, 2019 katika Kitongoji cha Mlimani, wilayani Chato ilihudhuriwa na viongozi …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA TABORA HADI MPANDA KW 132 ENEO LA MISUNKUMIRO – MPANDA
DKT.KALEMANI AMSIMAMISHA KAZI ALIYESABABISHA UMEME KUKATIKA KWA UZEMBE
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amemsimamisha kazi kwa uzembe, Mhandisi Samson Mwangulume wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) baada ya umeme kukatika kutokana na hitilafu iliyotokea katika Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo, Jijini Dar es salaam. Umeme huo ulikatika usiku wa Octoba 03, 2019 na …
Soma zaidi »BODI YA REA YAKAGUA MRADI WA UMEME JUA UYUI
Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekagua mradi wa umeme jua unaotekelezwa katika kijiji cha Tura, kilichopo Uyui, Mkoa wa Tabora; ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo katika mikoa mbalimbali nchini, kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini. Akizungumza Oktoba Mosi, …
Soma zaidi »UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME VIJIJINI TABORA HAURIDHISHI – BODI
Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema hali ya utekelezaji mradi wa umeme vijijini mkoani Tabora hairidhishi. Akitoa tathmini ya ziara waliyoifanya Oktoba 2, 2019 kukagua utekelezaji wa Mradi huo Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza mkoani humo; Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi husika, Mhandisi …
Soma zaidi »WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI WAAGIZWA KUMALIZA KAZI DISEMBA 31
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameagiza kuwa wakandarasi wa umeme vijijini wenye mikataba wahakikishe kuwa wanamaliza kazi za usambazaji umeme vijijini ifikapo tarehe 31 Disemba mwaka huu. Dkt Medard Kalemani aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa kikao chake na Wafanyakazi, Menejimenti na Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) …
Soma zaidi »DKT.KALEMANI ATOA MWEZI MMOJA NGUZO ZILIZOHIFADHIWA ZISAMBAZWE
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewagiza mameneja wa Shirika la Umeme Nchini(TANESCO)wote nchini kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja wanasambaza kwa wateja nguzo zote za akiba zilizohifadhiwa katika vituo na maeneo mbalimbali nchini. Kalemani alisema hayo, Septemba 28,2019, baada ya kuona nguzo zaidi ya Elfu mbili zikiwa zimehifadhiwa katika kituo …
Soma zaidi »