Maktaba Kiungo: WAZIRI WA VIWANDA

BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha. Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano …

Soma zaidi »