Maktaba Kiungo: WAZIRI WA VIWANDA

MRADI WA KIWANDA KIKUBWA CHA DAWA TANZANIA WAVUTIA WAWEKEZAJI WA KIMKAKATI AFRIKA KUSINI

Tanzania imewasilisha miradi 13 ya Kipaumbele kwa wawekezaji wa kimkakati wanaoshiriki kongamano la Jukwaa la Uwekezaji Mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango anayemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo, amesema Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa  mchanganyiko kitakachogharimu zaidi ya …

Soma zaidi »

MAZINGIRA YA UWEKEZAJI SASA NI MVUTO KWA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE – BASHUNGWA

Wizara ya Viwanda na Biashara katika siku yake ya pili ya Kongamano la fursa za biashara baina ya Tanzania na Uganda imerudia kuwahakikishia wafanyabiashara wake kuwa Wizara yake itawahudumia kwa karibu kwa kila hatua ili kufanikisha lengo la kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili. Akifunga Kongamano hilo, baada ya …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 1683 KUHUDHURIA KONGAMANO LA KIBIASHARA JIJINI DAR

Wafanyabiashara zaidi ya  1683 wanatarajiwa kihudhuria  katika kongamano la kibiashara la nchi ya nchi mbili, Tanzania na Uganda litakalofanyka katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa wafanyabiashara zaidi ya 1056 wa Tanzania na wauganda 426  utafunguliwa kesho Septemba 6, 2019 na Rais wa …

Soma zaidi »