Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),leo Novemba 12, 2018 wameanza zoezi upasuaji wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa watoto 10 ambao wana matatizo ya kusikia baada ya kukamilika kwa maandalizi, mwisho zoezi hilo linafanyika hadi hadi November 16, 2018. Watoto hao watapandikizwa vifaa vya usikivu baada ya wataalam kuwafanyia uchunguzi wa …
Soma zaidi »WATUNGA SERA, WAWEKEZAJI NA WABUNIFU KATIKA SEKTA YA AFYA KUJADILI FURSA ZILIZOPO KUELEKEA TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA
MOI KUANZA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU ILIYOZIBA KWENYE UBONGO
Mkurugenzi wa ubora na uhakiki wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt Mohamed Mohamed leo tarehe 5/11/2018 amefungua kongamano la tano kimataifa la mafunzo ya madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu katika ukumbi mpya wa Mikutano MOI ambapo mafunzo yanafanyika kwa …
Soma zaidi »MSD SASA KUNUNUA, KUSAMBAZA DAWA KWA NCHI ZOTE ZA SADC!
Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu wamesaini mkataba wa makubaliano ya MSD kuwa mnunuzi Mkuu wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa ajili ya nchi 16 wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo …
Soma zaidi »