Maktaba Kiungo: WIZARA YA AFYA

WAGONJWA 45 KUFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA

MATIBABU YA MOYO INAYOFANYIKA KATIK TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUANZIA TAREHE 7/01/2019 HADI 18/01/2019 Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupitia madaktari wake bingwa wa magonjwaya moyo kwa kushirikiana na Madaktari Afrika na Shirika la Cardio Startwote kutoka nchini Marekani  wameanza  kambi maalum ya matibabu ya moyoya siku 12  kwa …

Soma zaidi »

Ni wajibu wenu kutumia utaalamu katika majukumu -Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wanaotoa huduma katika sekta ya afya kutoa Huduma bora. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa jengo la kituo cha Mama na Mtoto katika hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya maadhimisho ya …

Soma zaidi »

MOI YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA KUONDOA UVIMBE KWENYE MISHIPA YA DAMU YA UBONGO

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imefanikiwa kufanya upasuaji kwa mara ya kwanza hapa nchini kuondoa vivimbe katika mishipa ya damu ya ubongo (Aneurysm) ya mgonjwa. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Alhaji Dkt. Hamisi Shabani.(pichani) amesema kwamba kabla ya hapo wagonjwa walikuwa wanafanyiwa …

Soma zaidi »