Maktaba Kiungo: WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha. Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano …

Soma zaidi »

VIONGOZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA 20 KUTOKA CHINA KUFANYA ZIARA NCHINI

Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang Nchini China watafanya ziara nchini tarehe 20-23 Julai 2019 kutafuta fursa za kuwekeza nchini katika sekta za mawasiliano, utalii, uzalishaji, madini, filamu. Ujumbe huo utakutana na wafanyabiashara wa Tanzania kupitia taasisi ya TPSF Katika ziara ya ujumbe wa Makampuni 20 kutoka …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA MILIONI 700 KUSAIDIA KAZI WABUNIFU NCHINI

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema Serikali kupitia Tume ya Tafa ya Sayansi na Teknolojia ( COSTECH) imetoa kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa wabunifu 60 ili kuendeleza tafiti na bunifu zao na kuleta tija na manufaa kwa Taifa. Akizungumza leo Jumatano (Julai 10, 2019) …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASIFU MAONESHO YA 43 YA SABASABA JIJINI DAR

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete amezipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kwa maandalizi mazuri ya Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Julius Nyerere. Akizungumza  Jumamosi (Julai 6, 2019) mara …

Soma zaidi »