Mwenyekiti wa Zhejiang Provincial Committee of CPPCC Bi. GE Huijun akayaeongoza msafara wa Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang nchini China kuja Tanzania.

VIONGOZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA 20 KUTOKA CHINA KUFANYA ZIARA NCHINI

  • Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang Nchini China watafanya ziara nchini tarehe 20-23 Julai 2019 kutafuta fursa za kuwekeza nchini katika sekta za mawasiliano, utalii, uzalishaji, madini, filamu. Ujumbe huo utakutana na wafanyabiashara wa Tanzania kupitia taasisi ya TPSF
  • Katika ziara ya ujumbe wa Makampuni 20 kutoka Zhejiang itafanyika mikutano miwili ya biashara jijini Zanzibar katika Hoteli ya Park Hyatt (tarehe 21) na Dar es salaam katika hoteli ya Hyatt Regency (tarehe 22) ili kutoa fursa kwa sekta binafsi ya Tanzania kukutana na ujumbe huo.
Screen Shot 2019-07-17 at 10.27.24 AM
Mwenyekiti wa Zhejiang Provincial Committee of CPPCC Bi. GE Huijun akayaeongoza msafara wa Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang nchini China kuja Nchini.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *