Maktaba Kiungo: WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

WAZIRI HASUNGA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MBOLEA YA TOPIC YA NCHINI MISRI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 5 Julai 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo Mhandisi Raouf amemueleza …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA VIETNAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Doanh ambapo amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Vietnam waje nchini kuwekeze katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda. Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameanzisha Wizara ya Uwekezaji iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kuifanya Tanzania …

Soma zaidi »

MKUCHIKA: TANZANIA INAZIDI KUPATA HESHIMA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), George Mkuchika amesema Tanzania inaendelea kupata heshima kubwa katika Jumuiya ya Kimataifa katika vita vya mapambano dhidi ya rushwa kutokana na mshikamano na nguvu ya pamoja iliyopo katika vyombo na taasisi zinazosimamia utawala bora nchini. Akizungumza …

Soma zaidi »

WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA UONGOZI WA KIWANDA CHA GOOD WILL KUZINGATIA USTAWI WA WAFANYAKAZI WAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchi Mhe. Angellah Kairuki ameutaka uongozi wa Kiwanda cha kutengeneza marumaru cha GoodWill Tanzania ceramic ltd  kuzingatia ustawi wa wafanyakazi wake kwa kuzingatia kanuni na sheria mbalimbali za ajira nchini ili kuendelea kuwa mazingira mazuri ya wafanyakazi wake. Ametoa …

Soma zaidi »

SOKO LA UNUNUZI NA UUZAJI MADINI MKOA WA KATAVI, LAZIDI KUIMARIKA

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amefanya ziara katika  mgodi wa Dilifu wa wachimbaji wadogo na mgodi mkubwa wa Katavi, Kapufi mining. Akizungumza katika ziara hiyo mkuu wa Mkoa amewaasa wachimbaji kutumie soko ya madini lilolifunguliwa mkoani humo kuuza madini yao Homera ameahidi  kupambana na watoroshaji wa madini ya …

Soma zaidi »

WAZIRI KAIRUKI AUTAKA UONGOZI WA KNAUF KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA JAMII INAYOWAZUNGUKA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuka ameutaka uongozi wa kiwanda kinachotengeneza bidhaa za cha za jasi (Gypsumboard) cha KNAUF kuendelea kushirikiana na jamii inayowazunguka katika kujiletee maendeleo. Ametoa kauli hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii alipotembelea kiwanda hicho kilichopo katika Halmashauri ya …

Soma zaidi »