WANAOMPINGA RAIS WANYAMAZE – DKT. KASWAHILI

”Watu wawe fair kwake (Rais Magufuli kwa namna anavyochapa kazi) Wampe credit.. Reformation ya nchi masikini kama Tanzania ambayo ina vitu vyote.. then tu, ilikuwa inakaliwa na watu wachache wanatuvuruga tu.. wanagonganisha vichwa wanatuvuruga tu.. kwa sababu tu, hawataki kuwa na dhamira njema; Yeye (Rais Magufuli) anaingia ndani ya miaka mitatu; Watu wanaanza kuona results hata kama hutaki basi nyamaza!!”(kukubali na kusema kuwa Mhe. Rais na serikali inafanya mambo ya maendeleo na kujenga Tanzania mpyA+) – Dkt. Martin Kaswahili, Mchumi.

maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ 110% kiuchumi

Ad

#MATAGA (video 👇🏽👇🏽)

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *