ACHENI PROPAGANDA SOMENI MUSWADA! – MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI

• Asema Muswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa nchini upo tangu mwaka 2013

• Asema wadau (vyama vya siasa) viache kulalamika kwa I jumla jumla na badala yake viusome mswada huo.

Ad

• Asema sheria hiyo Mpya inakuja kulinda demokrasia na kulinda katiba ya nchi.

• Adai baadhi ya vyama na wanasiasa wanatumika kupinga bila udhibitisho ili kuhujumu pendekezo lolote la serikali.

tazama kwa kubofya link hii

https://youtu.be/mrTM-3nVcfE

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA. CCM – KIRUMBA JIJINI MWANZA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.