HARMONIZE NA VIKUNDI VYA UTAMADUNI VYANOGESHA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU NA 57 YA JAMHURI UWANJA WA JAMHURI JIJINI MWANZA Matokeo ChanyA+ December 10, 2019 Tanzania MpyA+ Acha maoni 927 Imeonekana Msanii Rajabu Abduli maarufu kama “Harmonize” akitumbuiza katika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Desemba 9, 2019 Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara akicheza ngoma na wacheza ngoma ya Litungu ya kabila la Wakurya waliokuwa wakitumbuiza kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Desemba 9, 2019 Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest