Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaonyesha Kitambulisho Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Mameneja wa Mikoa wa Mamlaka ya Mapato nchini TRA, Waakilishi wa Machinga kwa ajili ya Wafanyabiashara wadogo wadogo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Vitambulisho hivyo vitagharimu kiasi cha Shilingi 20,000/ kwa kila kimoja.
RAIS DKT. MAGUFULI AGAWA VITAMBULISHO 670,000 KWA WAKUU WA MIKOA KWA AJILI YA MATUMIZI YA WAJASIRIAMALI (MACHINGA) KATIKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA
Matokeo ChanyA+
December 11, 2018
IKULU, Makamu wa Rais, MAWASILIANO IKULU, Tanzania MpyA+
883 Imeonekana
Unaweza kuangalia pia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …