Maktaba ya Mwaka: 2018

ZANZIBAR…!

Wananchi wa Zanzibar wanahimizwa kuendelea kujitokeza kwenda kufanya uhakiki wa taarifa zao muhimu zinazohusu Utambulisho, Vizazi, Vifo, Talaka na Ndoa. Zoezi hilo litakalofanyika kwa miezi mitatu, linafanyika kidigitali, kazi ambayo inafanywa na Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar ambapo taarifa zote zitahifadhiwa kidogitali kwa teknolojia ya kisasa kwa …

Soma zaidi »

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi Atilia shaka Jengo la Milioni 55

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi akiwa katika ziara ya kutembelea Mkoa wake Katika ziara hii atatembelea tarafa zote 15 za Mkoa wa Iringa, kusafiri kilomita 2611, kufanya mikutano mikubwa 15 ya kusikiliza kero za waanchi tarafa kwa tarafa na kukagua miradi yenye thamani ya bilioni 78.1. https://www.youtube.com/watch?v=d5ggteqZ05c “Nimekataa …

Soma zaidi »

RAIS WETU… ni Jembe!!

• Awa mfano wa utatuzi wa Kero za wananchi. Migogoro ya ardhi, dhuluma, matatizo ya kero katika shule/elimu, ufanisi katika miradi, uwajibikaji na maamuzi yaliyowashinda viongozi wengine yametatuliwa katika kila eneo analosimama akiwa riarani • Ziara zake, zinaacha alama isiyofutika katika kila eneo alilopita. Barabara, hospitali, majengo, viwanja vya ndege, …

Soma zaidi »

DSM: “Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam” Paul Makonda

Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni, ambacho nusu yake imetumika kuwalipa mgambo ambao wanatekeleza kampeni hiyo. Akizungumza kwenye mkutano na wadau wa usafi na …

Soma zaidi »