MAKAMU WA RAIS: Muongozwe na Roho Mtakatifu katika kila mtakayoyatenda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia wakati wa sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo wa Kanisa la Pentekoste Motomoto, Mwanga mkoani Kigoma Jumapili Septemba 09,2018.

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE:KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM ,VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *