RAIS WETU… ni Jembe!!

• Awa mfano wa utatuzi wa Kero za wananchi. Migogoro ya ardhi, dhuluma, matatizo ya kero katika shule/elimu, ufanisi katika miradi, uwajibikaji na maamuzi yaliyowashinda viongozi wengine yametatuliwa katika kila eneo analosimama akiwa riarani

• Ziara zake, zinaacha alama isiyofutika katika kila eneo alilopita. Barabara, hospitali, majengo, viwanja vya ndege, vyombo vya usafiri na vyanzo vingine vya uwajibikaji amewekewa mawe ya msingi na vingine kuzinduliwa katika maeneo yote anakofika ziara.

Ad

• Athibitisha yeye ni kiongozi msema kweli na mwenye nia ya kweli ya kuibadilisha Nchi yetu na kuwa TANZANIA MPYA+ yenye serikali inayojali wananchi wa hali ya chini, inayolinda rasilimali, inayosimamia kila shilingi inayoelekezwa katika miradi ya maendeleo, inayowaongoza watu wake katika kujituma/ kufanya kazi kwa bidii, yenye viongozi watumishi wa wananchi na si mabwana, inayotenda na kutekeleza ilani ya chama kinachoongoza dola na kukabili changamoto zote wa wananchi inayowaongoza.

• Ndiye Rais asiyechoka Kuchapa Kazi na kuwa mfano kwa kila Mtanzania

• Anatengeneza Taifa imara; Anajenga uchumi madhubuti; Anaiunda nchi iwe yenye muelekeo chanyA+; anaishi kwa upyA+ Tanzania.

Hakika #SisiNiTanzaniaMpyA+

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.