Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2018
Ujenzi wa Reli Ya Kisasa ya Umeme; MATARUMA YA YAANZA KUTANDIKWA
• Kazi imeanza ikiwa ni siku nne kabla ya muda rasmi uliopangwa •• Utandikaji umeanzia eneo la Soga Kibaha mkoani Pwani ••• Utandikaji wa Reli kuanza siku chache zijazo •••• Kasi ya uchapaji kazi, ari, kazi ya kukamilisha ujenzi yazidi Usiku na mchana maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ katika …
Soma zaidi »LINK YA RADIO CHANYA+
Endeleo kisikiliza Radio ChanyA+ MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii 👇🏽👇🏽 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »WANAOMPINGA RAIS WANYAMAZE – DKT. KASWAHILI
”Watu wawe fair kwake (Rais Magufuli kwa namna anavyochapa kazi) Wampe credit.. Reformation ya nchi masikini kama Tanzania ambayo ina vitu vyote.. then tu, ilikuwa inakaliwa na watu wachache wanatuvuruga tu.. wanagonganisha vichwa wanatuvuruga tu.. kwa sababu tu, hawataki kuwa na dhamira njema; Yeye (Rais Magufuli) anaingia ndani ya miaka …
Soma zaidi »SGR YAKAMILIKA KWA 22%
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya kwa ajili ya treni ya kisasa ya Umeme imekamilika kwa 22% imefikia hatua ya utandikaji wa MATALUMA yanatandikwa siku 6 zijazo. #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye #Matokeo ChanyA+ katika kila nyanja ya kukuza uchumi imara na madhubuti. #TunachapaKazi #MATAGA
Soma zaidi »Rais Magufuli aonya watendaji kutumika
“Mmesikia hili sakata hili la Dar es Salaam.. eti Mkuu wa Mkoa (Mhe. Paul Makonda) ameleta makontena ameambiwa alipe kodi… kwanini asilipe kodi.? Sasa ukichukua makontena kule.. umezungumza na watu wengine labda au wafanyabiashara.., unasema ni makontena yako halafu unasema ni ya walimu.., wala hata shule hazitajwi.. maana yake nini..? …
Soma zaidi »Rais Magufuli akutana na timu ya wataalamu wa umeme kutoka Ethiopia na timu ya Makinikia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Juni, 2017 amekutana na timu ya wataalamu wa masuala ya umeme na ujenzi wa mabwawa ya maji ya kuzalisha umeme iliyotumwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn kwa lengo la kubadilishana uzoefu na …
Soma zaidi »Rais Magufuli azindua viwanda vitatu na mradi wa Maji wa Ruvu Juu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Juni, 2017 amezindua viwanda vikubwa vitatu na mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na ulazaji wa mabomba makuu kutoka Mlandizi hadi Dar es Salaam ikiwa ni siku yake ya pili ya …
Soma zaidi »Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ali Yanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), uongozi wa Klabu ya Yanga na wanamichezo wote kwa ujumla kufuatia kifo cha shabiki mkubwa wa timu ya Yanga Bw. Ali Mohamed maarufu kwa jina la …
Soma zaidi »Rais Magufuli aanza ziara ya siku 3 Pwani aonya wezi awahakikishia neema Wanapwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Pwani kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikisha miradi mikubwa ya maendeleo yenye manufaa kwa mkoa huo na Taifa kwa ujumla inatekelezwa kama alivyoahidi. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika …
Soma zaidi »