Rais Magufuli aonya watendaji kutumika

“Mmesikia hili sakata hili la Dar es Salaam.. eti Mkuu wa Mkoa (Mhe. Paul Makonda) ameleta makontena ameambiwa alipe kodi… kwanini asilipe kodi.? Sasa ukichukua makontena kule.. umezungumza na watu wengine labda au wafanyabiashara.., unasema ni makontena yako halafu unasema ni ya walimu.., wala hata shule hazitajwi.. maana yake nini..? Maana yake si unataka si unataka utumie walimu, ulete haya makontena.. utapeleka shule mbili tatu ndizo zitapewa mengine unakwenda kuyauza unapeleka kwenye shopping mall.. lakini walimu walikwambia wanahitaji makochi.., sofa? ..Sasa nilazima sisi viongozi.. no matter uko kwenye position gani, tujenge mazingira ya kuwatumikia Watanzania. Hizo ndio sadaka zetu… ” – Mhe. John Pombe Magufuli,* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

30/08/2018

Ad

Chato, Geita

#SisiNiTanzaniaMpyA+ makini, ya Wazalendo yenye msimamo thabiti katika kujenga uchumi imara na madhubuti kuwapa Watanzania wote Matoke chanyA+ 110 katika kila nyanja.

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.