Kazi ya Kuhamisha kipande cha reli chenye urefu wa Kilometa 1.3 ikiendelea eneo la Kidete - Godegode umbali wa KM 337 - 338 ili kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa. Kazi inajumuisha ujenzi wa tuta jipya la reli, ujenzi wa Makalavati pamoja na uwekaji wa reli katika tuta jipya hivi karibuni Januari 2019.
MABORESHO UJENZI WA RELI YA ZAMANI (MGR): UJENZI WA TUTA JIPYA,MAKARAVATI NA UWEKAJI WA RELI WAENDELEA KWA KASI KIDETE-GODEGODE MKOANI MOROGORO
Matokeo ChanyA+
January 25, 2019
Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+
839 Imeonekana
Unaweza kuangalia pia
Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa …