Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipeana mkono na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bw. Sikhumbuzo Dlamini, baada ya kumalizika kwa Mkutano kati yao, Jijini Dodoma.

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

88-01
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wakifuatilia mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani) na Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ukiongozwa na Bw. Sikhumbuzo Dlamini (hayupo pichani) katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dodoma.
  • Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo chini ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zinatakiwa kujitazama na kushauriana kuhusu mwenendo wao wa uchumi badala ya kuyaachia Mashirika ya Kimataifa pekee.
  • Rai hiyo imetolewa Jijini Dodoma wakati wa Mkutano kati yake na Ujumbe wa SADC unaoongozwa na Bw. Sikumbuzo Dlamini, ambao umetembelea nchini kwa ajili ya Mpango wa kujitathmini kiuchumi kwa mwaka wa Fedha 2019/20.
77-01
Baadhi ya Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ukiongozwa na Bw. Sikhumbuzo Dlamini (katikati), wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dodoma.
  • Dkt. Mpango alisema kuwa nchi za Afrika zimezoea kuona Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) au kuja kuangalia namna gani Uchumi unavyoendelea ili hali   Afrika hasa nchi za SADC zina fursa pia ya kutembeleana na kushaurina namna bora ya kuendeleza uchumi na kuwahudumia wananchi ikizingatiwa kuwa nchi hizo zinafahamiana vizuri.
  • “Madhumuni ya ujumbe wa SADC kutembelea nchini ni kuangalia hali ya ukuaji wa uchumi, ubadilishanaji wa fedha za kigeni, mauzo ya bidhaa ndani na nje ya nchi na kushauri mahali ambapo Tanzania haijafanya vizuri au kutumia fursa ipasavyo’’, alieleza Dkt. Mpango.
66-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), uliongozwa na Bw. Sikhumbuzo Dlamini (wa nne kulia), pamoja na viongozi wa Wizara hiyo na wajumbe kutoka SADC, Jijini Dodoma.
  • Alisema kuwa nchi za SADC zilikubaliana kuchagua ujumbe ambao utakuja nchini kufuatilia namna uchumi Mkuu unavyoendelea, hivyo ametumia fursa hiyo kueleza utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya Umeme wa Maporomoko ya Mto Rufiji, ujenzi wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) na miundombinu mingine ya barabara.
44-01
Kiongozi wa Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bw. Sikhumbuzo Dlamini akifafanua jambo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (hayupo pichani), ambapo aliipongeza Serikali kwa kazi nzuri inayofanya katika kukuza uchumi.
  • Kwa upande wake Kiongozi wa Ujumbe wa SADC, Bw. Sikumbuzo Dlamini, ambaye pia ni Meneja wa Sera za Uchumi na Takwimu wa Benki Kuu ya Eswatini, ameipongez Tanzania kwa maendeleo makubwa iliyofikia baada ya kujionea miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya Reli, miradi ya maji ambayo itasaidia ukuaji wa uchumi Uchumi Mkubwa na kuiwezesha kufikia Malengo ya Maendeleo endelevu.Na Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma
33-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akielezea umuhimu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kutathmini ukuaji wa uchumi, wakati wa Mkutano wa Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ulioongozwa na Bw. Sikhumbuzo Dlamini kutoka Eswatini, Jijini Dodoma
22-01
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) na Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ukiongozwa na Bw. Sikhumbuzo Dlamini (kushoto), wakiwa katika Mkutano katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.
5-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto), akimuongoza mgeni wake ambaye ni kiongozi wa Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bw. Sikhumbuzo Dlamini, ulipotembelea katika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAKAZI WA PEMBEZONI MWA BAHARI WAELIMISHWA ATHARI ZA MAGENDO

Wakazi na wafanyabiashara waishio pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi katika kata za Somangila, …

340 Maoni

  1. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  2. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  3. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  4. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  5. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  6. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  7. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  8. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  9. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  10. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  11. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  12. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  13. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  14. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  15. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  16. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  17. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  18. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  19. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/form-consultation в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  20. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  21. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  22. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  23. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  24. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  25. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  26. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  27. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  28. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  29. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  30. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  31. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  32. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  33. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  34. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  35. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  36. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  37. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  38. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *