Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akiongoza kikao cha kujadili juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.Kikao hicho kimeudhuriwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou.Mradi huo wa miaka mitatu ambapo Tanzania itapata bilioni mbili ili kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.

TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA KUZALISHA TAKWIMU ZINAZOHUSIANA NA JINSIA

Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia  Jijini Dodoma.
TAKWIMU-1
Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia leo Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanaua jambo kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou(wa Tatu kulia) juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanua kuhusu mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/564293745″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA

Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *