SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI INAPATIKANA KWA WINGI ILI KUKIDHI MAHITAJI

  • Serikali imefafanua tamko lake la kupiga marufuku uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini.
  • Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dodoma na kusisitiza kuwa katazo la Mifuko ya Plastiki lililotolewa jana na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa linakuwa na nguvu kisheria kwa kuandika kanuni za katazo ya mifuko ya plastiki zitakazotangazwa katika gazeti la Serikali chini ya Sheria ya Mazingira na kutoa adhabu kwa kila mtu atakaekiuka utaratibu uliowekwa.  
  • “Kabla ya Serikali kutangaza hatua ya kupiga marufuku mifuko ya plastiki, ulifanyika utafiti na maandalizi ya mifuko mbadala. Uwezo wa kuzalisha upo na mifuko ya karatasi inayotumika Kenya na Rwanda inatumia malighafi inayozalishwa Mgololo-Iringa,Tanzania.” Makamba alisistiza
  • Waziri Makamba ameainisha kuwa kuna vifungashio ambavyo havitapigwa marufuku ambavyo ni pamoja na vifungashio vya dawa za hospitalini, vifungashio katika sekta ya kilimo na ujenzi pia vile vya kuhifadhi maziwa na kutolea mfano wa vifungashio vya maziwa ya ASAS na Tanga Fresh, hata hivyo utaratibu maalumu utawekwa kwa wamiliki wa kukusanya vifungashio hivyo mara baada ya matumizi yake.
  • Akizungumzia juu ya ushirikishwaji, Waziri Makamba amesema kuwa zoezi hili limekuwa ni shirikishi na hatua iliyotangazwa na Waziri Mkuu sio ya kushtukiza kwa kuwa Ofisi yake iliratibu mikutano katika maeneo kadhaa nchini kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu zuio la mifuko ya plastiki.
  • Katika kukamilisha utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Waziri Makamba amesema Ofisi yake imeunda kikosi kazi cha kusimamia katazo hilo kikihusisha wajumbe kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, Mamlaka ya Mapato Tanzania, Idara ya Uhamiaji, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Shirika la Viwango Tanzania, Mamlaka ya Chakula na Dawa, Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Wengine ni Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
  • Katika hatua nyingine Waziri Makamba amesema kuwa mapema wiki ijayo ataitisha mkutano wa wawekezaji wa mifuko mbadala kote nchini na kujadili kwa kina namna bora ya kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko mbadala rafiki wa mazingira.
  • Serikali imetangaza kuanzia Juni Mosi 2019 kuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na matumizi yake.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

84 Maoni

  1. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  2. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  3. Discover Rafael Nadal’s https://mls.inter-miami-fr.com impressive rise to the top of world tennis, from his debut to his career Grand Slam victory.

  4. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  5. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  6. Explore the remarkable journey of Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior.net, the Brazilian prodigy who conquered the world’s biggest stage with his dazzling skills and unparalleled ambition at Real Madrid.

  7. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  8. The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.

  9. O meio-campista Rafael Veiga leva https://palmeiras.raphaelveiga-br.com o Palmeiras ao sucesso – o campeonato brasileiro e a vitoria na Copa Libertadores aos 24 anos.

  10. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  11. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  12. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  13. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  14. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  15. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  16. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  17. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  18. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  19. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  20. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  21. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  22. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/hongqi-h9 в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  23. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  24. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  25. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  26. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  27. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  28. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  29. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  30. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  31. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *