Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2019
LIVE: BUNGE, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI – 15 APRILI, 2019
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA)
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA KIKAO CHA WAWEKEZAJI NA WADAU WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI JIJINI DAR ES SALAAM.
WAZIRI HASUNGA ATOA AGIZO KWA BODI ZA MAZAO KUKAMILISHA KANZI DATA ZA WAKULIMA IFIKAPO JUNI 30
Serikali imetoa agizo kwa Wakurugenzi wa Bodi za Mazao ya Kilimo nchini kukamilisha Kanzi Data ya wakulima wote itakayowawezesha wakulima hao kutambulika kwa urahisi. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga wakati alipokuwa akipokea msaada wa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa …
Soma zaidi »SERIKALI MBIONI KUANZA MPANGO WA UAGIZAJI WA GESI YA MITUNGI (LPG) KWA PAMOJA
Serikali imesema iko katika hatua za awali za kuandaa mpango wa uagizaji wa gesi ya mitungi (LPG) kwa pamoja kama ilivyo kwa mafuta ya Petroli hali itakayosaidia kudhibiti masuala mbalimbali ikiwemo bei ya gesi hiyo . Akizungumza wakati wa semina kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati …
Soma zaidi »CREDIT SUISSE BANK: TUTAENDELEA KUIKOPESHA TANZANIA KWA KUWA INAKOPESHEKA NA MAHILI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI
Benki ya Credit Suisse ya Uingereza imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuikopesha Tanzania ili kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo baada kuridhishwa na uaminifu wa urejeshaji mikopo kwa wakati pamoja na ubora wa viwango vya miradi inayotekelezwa nchini. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Washington D.C nchini Marekani na Mkurugenzi wa Masoko …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KWANDIKWA ASISITIZA MRADI WA NYUMBA ZA KISASA MAGOMENI KOTA UKAMILIKE DESEMBA 2019
NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa ameagiza Wakala wa Majengo Nchini (TBA) kuhakikisha wanamaliza Mradi wa Nyumba za Kisasa wa Magomeni Kota jijini Dar es Salaam unamalizika kufikia mwezi Desemba mwaka huu. Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Kwandikwa ametoa msisitizo huo leo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara …
Soma zaidi »BENKI YA DUNIA KUTOA MKOPO NA MSAADA WA SHILINGI TRILIONI 4 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO
Benki ya Dunia imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu na msaada wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.7 sawa na takriban shilingi trilioni 4 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020. Ahadi hiyo imetolewa mjini Washington …
Soma zaidi »