ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI SINGIDA YALETA NEEMA KWA WANANCHI

  • Ziara ya siku mbili iliyofanywa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani mkoani Singida, imeleta neema kwa wananchi wa Mkoa huo kutokana na hatua za kiutendaji alizochukua ili kuhakikisha miradi mbalimbali ya umeme inatekelezwa kwa kasi na viwango, hivyo kuinufaisha jamii husika.
  • Katika ziara hiyo iliyofanyika Mei 15 na 16, 2019 ikilenga kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani Singida, Waziri alilazimika kutoa maagizo na hata kuchukua hatua za kinidhamu kwa watendaji kadhaa walioonesha kuzembea katika kutekeleza majukumu yao.
KL 1-01
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwongeza wilayani Iramba, Mkoa wa Singida, alipokuwa katika ziara ya kazi Mei 17, 2019 kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na kuwasha umeme. PIC 2
  • Akiwa katika kijiji cha Mwangeza wilayani Iramba, Mei 16, Waziri alitoa maagizo kwa Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa eneo husika, kuhakikisha ndani ya miezi sita kuanzia Mei 2019, umeme unashushwa na kuunganishiwa wananchi katika maeneo yote ambayo miundombinu ya umeme hususan nyaya zimepita.
  • “Viko vijiji vimepitiwa na nyaya za umeme lakini havina umeme. Natoa muda wa miezi Sita (6) kuanzia mwezi huu wa Mei, vyote viunganishiwe nishati hiyo.”
KL
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akikagua utekelezaji wa miradi ya umeme kijijini Merya, Wilaya ya Singida Vijijini akiwa katika ziara ya kazi, Mei 16, 2019. Waziri aliagiza nyaya hizo za umeme zilizoachwa chini, zifungwe mara moja kwenye nguzo.
  • Vilevile, Waziri alitoa muda wa siku moja kwa uongozi wa TANESCO, kuunganisha umeme katika Jengo la Mahakama ya Mwanzo, lililopo katika Kata ya Mwangeza ili kuwezesha utoaji huduma bora kwa wananchi.
  • Aidha, akiwa katika kijiji cha Solya wilayani Manyoni, Waziri alitoa muda wa siku moja kwa uongozi wa TANESCO, kuunganisha umeme katika Mradi wa maji uliopo kijijini humo.
KL
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, alipofika kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme na kuzungumza na wananchi, Mei 16, 2019 akiwa katika ziara ya kazi.
  • “Kwakuwa vitendea kazi vyote vipo, ikifika kesho saa nane mchana, Mtambo huu wa maji uwe umeunganishiwa umeme, vinginevyo Meneja ujiuzuru wadhifa wako,” alisisitiza.
  • Katika hatua nyingine, Waziri Kalemani akiwa kijijini Merya, Singida Kaskazini, alilazimika kutoa maagizo ya kukamatwa kwa baadhi ya Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme katika eneo hilo kutokana na kuzembea na kuidanganya serikali.
KL
Timu ya wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya umeme vijijini mkoani Singida, wakiwa wamesimama mbele ya wananchi wa kijiji cha Merya, wilayani Singida Vijijini kwa ajili ya utambulisho uliofanywa na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani), alipokuwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme, Mei 16, 2019.
  • Wakandarasi waliokamatwa ni anayetekeleza Mradi wa Backbone ambaye Waziri alisema muda wa mkataba wake umeisha lakini bado hajakamilisha kazi yake. Pamoja na kuagiza akamatwe ili ahojiwe, lakini pia alimtaka kuhakikisha anakamilisha kazi iliyobaki ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
  • Mwingine ni anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili (REA II), ambaye pia, kwa mujibu wa Waziri amezembea, haonekani katika eneo la kazi na ametelekeza nguzo takribani miezi Tisa (9) pasipo kuzifungia nyaya.
KL
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (mwenye shati ya bluu-mbele) akiwa ameongozana na Mbunge wa Jimbo la Mkalama, Nalaila Kiula (kulia) na viongozi wengine wa serikali na vyama vya siasa, kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme wilayani Singida Vijijini, akiwa katika ziara ya kazi, Mei 16, 2019.
  • Akifafanua zaidi, Waziri alisema Mkandarasi wa REA II ameidanganya serikali, hajakamilisha kazi takribani miezi minne sasa. “Alitakiwa akamilishe kazi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa bado na hayuko site.
  • Kufuatia hatua hiyo, Waziri Kalemani alitoa onyo kwa wakandarasi wengine nchi nzima wanaotekeleza miradi mbalimbali ya umeme kuhakikisha wanatimiza wajibu wao ipasavyo vinginevyo, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
  • Pia, Waziri alimwagiza Meneja wa TANESCO Mkoa wa Singida, kumwondolea wadhifa wa Msimamizi wa Miradi ya REA, Fundi Mchundo kutoka shirika hilo, aliyekuwa akishikilia wadhifa huo kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo na kumweka Afisa mwingine.
KL
Taswira ya Jengo la Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mwongeza, wilayani Iramba, Mkoa wa Singida, kama ilivyonaswa muda mfupi kabla ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani) kuiwashia rasmi umeme, akiwa katika ziara ya kazi, Mei 16, 2019.
  • Katika ziara hiyo, Waziri Kalemani aliwasha umeme kwenye vijiji mbalimbali katika Wilaya za Manyoni, Iramba na Mkalama pamoja na kuzungumza na wananchi.
  • Alipongeza taasisi mbalimbali za umma, zikiwemo shule, vituo vya afya, ofisi za kata na vijiji, miradi ya maji na nyinginezo ambazo zimefanya jitihada ya kulipia shilingi 27,000 tu na kuunganishiwa umeme ambapo alitoa hamasa kwa taasisi nyingine nchi nzima kuiga mfano huo.
  • Alisema, kipaumbele cha serikali katika kuunganisha umeme vijijini ni katika taasisi zinazotoa huduma mbalimbali kwa umma hivyo akawataka viongozi wote wanaohusika, kuhakikisha wanatenga fedha za kulipia taasisi zao ili ziunganishiwe umeme.
  • Aidha, alitoa hamasa kwa wananchi kuchangamkia miradi ya umeme vijijini kwa kulipia gharama ndogo kiasi cha shilingi 27,000 ili waunganishiwe umeme katika makazi yao na biashara zao.
  • Pia, aliwataka kuutumia umeme katika kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuongeza kipato na kujiinua kiuchumi.
  • Katika ziara hiyo, Waziri aliambatana na viongozi mbalimbali wa serikali na kisiasa wakiwemo Wakuu wa Wilaya husika, Wabunge wa maeneo husika na wataalamu kutoka wizarani, TANESCO na REA.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …

163 Maoni

  1. https://buzard.ru панели для отделки фасада – интернет магазин

  2. Mohamed Salah https://liverpool.mohamed-salah-cz.com, who grew up in a small town in Egypt, conquered Europe and became Liverpool star and one of the best players in the world.

  3. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://syndyk.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  4. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  5. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  6. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  7. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  8. r7 casino официальный сайт r7 casino войти

  9. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  10. Find out how Bruno Guimaraes https://newcastleunited.bruno-guimaraes-cz.com became a catalyst for the success of Newcastle United thanks to his technical abilities and leadership on the field and beyond.

  11. Study of the playing style of Toni Kroos https://real-madrid.toni-kroos-cz.com at Real Madrid: his accurate passing, tactical flexibility and influence on the team’s success.

  12. Star Brazilian striker Gabriel Jesus https://arsenal.gabriel-jesus-cz.com put in a superb performance to lead Arsenal to new heights after moving from Manchester City.

  13. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  14. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  15. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  16. Emily Olivia Laura Blunt https://oppenheimer.emily-blunt.cz British and American actress. Winner of the Golden Globe (2007) and Screen Actors Guild (2019) awards.

  17. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  18. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  19. The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.

  20. The inspiring story of the ascent of the young actress Anya Taylor https://queensmove.anya-taylor-joy.cz to fame after her breakthrough performance in the TV series “The Queen’s Move”. Conquering new peaks.

  21. Witness the thrilling story of Jiri Prochazka’s https://ufc.jiri-prochazka-ufc.cz rapid rise to the top of the UFC’s light heavyweight division, marked by his dynamic fighting style and relentless determination.

  22. An article about the triumphant 2023 Ferrari https://ferrari.charles-leclerc.cz and their star driver Charles Leclerc, who became the Formula world champion 1.

  23. Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.

  24. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  25. Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.

  26. Latest World of Warcraft tournament news https://ar-wow.com (WOW), strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Arabic.

  27. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  28. Latest news from the world of boxing https://boks-uz.com, achievements of Resul Abbasov, Tyson Fury’s fights and much more. Everything Boxing Ambassador has.

  29. Latest boxing news, achievements of Raisol Abbasov https://boxing-ar.com, Tyson Fury fights and much more. It’s all about the boxing ambassador.

  30. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  31. Sports news https://gta-uzbek.com the most respected sports site in Uzbekistan, which contains the latest sports news, forecasts and analysis.

  32. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).

  33. Официальный сайт онлайн-казино Vavada https://vavada-kz-game.kz это новый адрес лучших слотов и джекпотов. Ознакомьтесь с бонусами и играйте на реальные деньги из Казахстана.

  34. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

  35. Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.

  36. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  37. Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.

  38. Find the latest information on Khabib Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.uz news and fights. Check out articles and videos detailing Khabib UFC career, interviews, wins, and biography.

  39. Latest news and information about Marcelo https://marselo-uz.com on this site! Find Marcelo’s biography, career, game stats and more.

  40. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  41. The latest top football news https://futebol-ao-vivo.net today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts

  42. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  43. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  44. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  45. From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.

  46. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  47. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  48. Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.

  49. Golden State Warriors success story https://golden-state-warriors.stephen-curry-fr.com Stephen Curry: From becoming a leader to creating a basketball dynasty that redefined the game.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *