WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI Matokeo ChanyA+ May 17, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 978 Imeonekana Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mikel Kafando ambaye nui Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia,wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia na baadhi ya wajumbe aliombatana nao. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika mazungumzo na Bwana. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akipokea hati ya utambulisho ya Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest