UWANJA WA NDEGE TERMINAL 3 WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 99.5

  • Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwele amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya  la 4  la abiria (Terminal 3) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Julius Nyerere (JNIA) leo jijini Dar es Salaam na kuonesha kuridhishwa na usimamizi.
  • Akizungumza na waandishi wa habari Kamwele amesema kuwa kasi ya ujenzi huo ni nzuri na hadi sasa uwanja umekamilika na upo katika majaribio na utakabidhiwa rasmi tarehe 29 mwezi huu badala ya tarehe 31 na hiyo ni baada ya uwanja huo kukamilika kwa asilimia kubwa.
  • Amesema kuwa majaribio kwa ajili ya uwanja huo wa terminal 3 unaendelea huku akiwahimiza wazawa kutumia fursa ya kutumia nafasi maalumu zilizowekwa kwa ajili ya kuuza chakula (canteen) ili waweze kujiongezea kipato.
  • Aidha ameipongeza Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini kwa kusimami vyema mradi huo na amemshukuru Rais Dkt. John Magufuli kwa kuleta maendeleo yenye tija kwa kuwa kupitia uwanja huo watalii wengi wanatarajia kuingia nchini huku akieleza kuwa hali ya ulinzi uwanjani hapo ni salama kwa kila mmoja atakaye kuwepo uwanjani hapo.
AIR
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa terminal 3 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ambapo amesema kuwa kasi na ubora wa ujenzi wa uwanja huo inaridhisha na majaribio yanaendelea, leo jijini Dar es Salaam.
  • Kuhusiana na ujenzi wa daraja la Salender Kamwele amesema kuwa kasi inaenda vyema na barabara ya muda inajengwa na mwisho wa mwezi huu ujenzi rasmi utaanza rasmi.
  • Amesema kuwa ujenzi wa daraja hilo lenye mita 1030 umekamilika kwa asilimia 9.5 na tayari mitambo na nguzo zimewasili kwa ajili ya kazi hiyo.
  • Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini Mhandisi. Julius Ndyamukama amesema kuwa uwanja wa Terminal 3  una uwezo wa kubeba zaidi ya watu milioni 6 kwa mwaka, kupaki ndege kubwa 13 umekamilika na kazi za majaribio zinaendelea ikiwemo kufunga mitambo kutoka mamlaka za  uhamiaji, mabenki, shirika la simu la TTCL na wadau wakubwa katika uwanja huo.
AIR
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele akizungumza na watendaji na wasimamizi wa mradi huo, kulia na msimamizi wa mradi kutoka TANROAD Mhandisi Burton Komba na katikati ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini Mhandisi Julius Ndyamukama, leo jijini Dar es Salaam.
  • Amesema kuwa zaidi wa wananchi 2900 ambao ni sawa na asilimia 70 wamenufaika na ajira kupitia mradi huo na ameipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa kasi katika usimamizi wa miradi ya kimaendeleo na kuahidi kuendelea kutekeleza miradi ya namna hiyo kwa wakati.
  • Tafiti zinaonesha  kuwa Uwanja wa Terminal 1 una uwezo wa kubeba watu laki tano kwa mwaka, Terminal 2 una uwezo wa kubeba watu zaidi ya milioni mbili na nusu  kwa mwaka na ujenzi wa uwanja wa terminal 3 unataraji  kubeba watu zaidi ya milioni 6 kwa mwaka na umekuja baada uwanja wa terminal 2 kuzidiwa na idadi kubwa ya watu na hii ni kutokana na kukua kwa uchumi na shughuli za kitalii ambapo watu wengi hutumia usafiri wa anga.
  • Mradi huo wa ujenzi wa uwanja wa terminal 3 umewekezwa hadi mwaka 2035 kimatumizi huku viwanja vingine 9 vikitarajiwa kujengwa katika Mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Ruvuma na Mara.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI UMMY AKAGUA JNIA TERMINAL 3 UTAYARI WATUMISHI WA AFYA DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameridhishwa na hali ya …

127 Maoni

  1. Pedri’s story https://barcelona.pedri-fr.com from his youth in the Canary Islands to becoming a world-class star in Barcelona, ??with international success and recognition.

  2. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  3. Добрый день!
    Где заказать диплом по актуальной специальности?
    Купить диплом ВУЗа.
    https://eva-travel.ru/
    Рады помочь!

  4. Привет, друзья!
    Приобрести диплом о высшем образовании.
    Мы предлагаем купить диплом в высоком качестве, неотличимый от оригинального документа без участия специалиста высокой квалификации с дорогим оборудованием.
    Где приобрести диплом по необходимой специальности?
    http://itisenglish.maxbb.ru/viewtopic.php?f=7&t=936
    Успехов в учебе!

  5. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  6. купить диплом 2003 diplomyx.com .

  7. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  8. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  9. An exploration of the history of Turin’s https://turin.juventus-fr.org iconic football club – Juventus – its rivalries, success and influence on Italian football.

  10. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  11. Хотите научиться готовить самые изысканные и сложные торты? В этом https://v1.skladchik.org/tags/tort/ разделе вы найдете множество подробных пошаговых рецептов самых трендовых и известных тортов с возможностью получить их за сущие копейки благодаря складчине. Готовьте с удовольствием и открывайте для себя новые рецепты вместе с Skladchik.org

  12. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  13. O meio-campista Rafael Veiga leva https://palmeiras.raphaelveiga-br.com o Palmeiras ao sucesso – o campeonato brasileiro e a vitoria na Copa Libertadores aos 24 anos.

  14. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  15. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  16. Ayrton Senna https://mclaren.ayrtonsenna-br.com is one of the greatest drivers in the history of Formula 1.

  17. Здравствуйте!
    Мы предлагаем документы ВУЗов, которые находятся на территории всей РФ. Вы можете заказать диплом от любого учебного заведения, за любой год, включая сюда документы СССР. Документы выпускаются на бумаге высшего качества. Это дает возможность делать настоящие дипломы, не отличимые от оригинала. Они будут заверены всеми требуемыми печатями и штампами.
    Заказать диплом любого университета.
    xn--80aeahbdc6cr3b7h.xn--p1ai/club/user/8729/blog/193097/
    Удачи!

  18. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  19. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  20. Добрый день!
    Мы готовы предложить документы техникумов, расположенных на территории всей РФ. Вы сможете заказать диплом за любой год, указав актуальную специальность и хорошие оценки за все дисциплины. Дипломы и аттестаты выпускаются на “правильной” бумаге самого высшего качества. Это дает возможности делать государственные дипломы, не отличимые от оригиналов. Документы заверяются необходимыми печатями и штампами.
    old.kakdelat.ru/company/personal/user/1695/blog/8780/

  21. куплю международный диплом asxdiplomik24.ru .

  22. Добрый день!
    Где купить диплом по необходимой специальности?
    Мы изготавливаем дипломы психологов, юристов, экономистов и прочих профессий по доступным ценам.
    jaezfinancialgroup.icu/pages/contact-us

  23. Здравствуйте!
    Всё, что нужно знать о покупке аттестата о среднем образовании без рисков
    http://www.freeboard.com.ua/forum/viewtopic.php?pid=974678#p974678
    Рады оказаться полезными!.

  24. Привет!
    Приобрести диплом любого ВУЗа.
    leydis16.phorum.pl/posting.php?mode=newtopic&f=1
    Успехов в учебе!

  25. Привет, друзья!
    Заказать документ ВУЗа можно у нас. Мы предлагаем документы об окончании любых университетов Российской Федерации.
    forum.theabyss.ru/index.php?showtopic=739697
    tsmtech.co.kr/bbs/board.php?bo_table=free&wr_id=566906
    allods.mlx.su/forums/topic/321-%D0%BA%D1%83%D0%BF%D0%B8%D1%82%D1%8C-%D0%B4%D0%B8%D0%BF%D0%BB%D0%BE%D0%BC-%D1%86%D0%B5%D0%BD%D0%B0-p426g/
    wiki.mysupp.ru/index.php?title=gosznacdiplomy
    http://www.nhps1914.com/wiki/index.php?title=landsdiplomy

  26. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  27. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  28. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  29. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  30. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  31. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  32. Добрый день!
    Заказать документ института можно в нашей компании. Мы оказываем услуги по производству и продаже документов об окончании любых ВУЗов Российской Федерации. Вы получите диплом по любым специальностям, любого года выпуска, в том числе документы Советского Союза.
    avtovladelez.ru/vash-diplom-dlya-karernogo-rosta-dostupno-kazhdomu
    opengadjet.ru/byistroe-oformlenie-diploma-nadezhno-i-bezopasno
    allsportime.ru/garantiya-kachestva-na-vse-diplomyi
    worksale.wikidot.com/kupit-diplom-bystro-i-nadezno
    dp.getbb.ru/viewtopic.php?f=3&t=759

  33. Добрый день!
    Приобрести документ о получении высшего образования можно у нас в Москве.
    ast-diplomas24.ru/otzyvy

  34. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  35. Добрый день!
    Заказать диплом ВУЗа
    Наша компания предлагает быстро заказать диплом, который выполняется на оригинальном бланке и заверен мокрыми печатями, водяными знаками, подписями официальных лиц. Данный диплом пройдет любые проверки, даже с применением профессиональных приборов. Решите свои задачи быстро с нашей компанией.
    Где приобрести диплом специалиста?
    mysmart.ru/index.php?/gallery/image/655-%D1%87%D0%B5%D1%82%D1%8B%D1%80%D0%B5-%D0%BA%D0%BB%D1%8E%D1%87%D0%B5%D0%B2%D1%8B%D1%85-%D0%B3%D1%80%D1%83%D0%BF%D0%BF%D1%8B-%D0%BE%D0%BD%D0%BB%D0%B0%D0%B9%D0%BD-%D0%BC%D0%B0%D0%B3%D0%B0%D0%B7%D0%B8%D0%BD%D0%BE%D0%B2-%D1%80%D0%B5%D0%B0%D0%BB%D0%B8%D0%B7%D1%83%D1%8E%D1%89%D0%B8%D1%85-%D0%B4%D0%BE%D0%BA%D1%83%D0%BC%D0%B5%D0%BD%D1%82%D1%8B/
    http://www.eruptz.com/read-blog/3351_zakazyvaem-dokumenty-v-nadezhnom-magazine-sovety-eksperta.html
    lookeify.com/read-blog/6537
    panther.80lvl.ru/index.php
    http://www.mobime.ru/forum/forum17.html

  36. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  37. Добрый день!
    Мы предлагаем документы техникумов, которые расположены на территории всей Российской Федерации. Можно заказать диплом за любой год, в том числе документы СССР. Дипломы и аттестаты печатаются на бумаге высшего качества. Это позволяет делать государственные дипломы, которые невозможно отличить от оригиналов. Документы заверяются всеми необходимыми печатями и штампами.
    nybodyart.com/forums/gallery/image/8-%D0%BF%D1%80%D0%B8%D0%BE%D0%B1%D1%80%D0%B5%D1%82%D0%B0%D0%B5%D0%BC-%D0%B4%D0%B8%D0%BF%D0%BB%D0%BE%D0%BC-%D0%B2-%D0%B8%D0%B7%D0%B2%D0%B5%D1%81%D1%82%D0%BD%D0%BE%D0%BC-%D0%BE%D0%BD%D0%BB%D0%B0%D0%B9%D0%BD-%D0%BC%D0%B0%D0%B3%D0%B0%D0%B7%D0%B8%D0%BD%D0%B5-%D0%BF%D0%BE-%D0%B2%D1%8B%D0%B3%D0%BE%D0%B4%D0%BD%D0%BE%D0%B9-%D1%86%D0%B5%D0%BD%D0%B5/?context=new

  38. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  39. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  40. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  41. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  42. Здравствуйте!
    Готовы предложить документы техникумов, которые расположены в любом регионе Российской Федерации. Можно купить качественный диплом от любого заведения, за любой год, включая сюда документы старого образца СССР. Документы делаются на бумаге самого высшего качества. Это позволяет делать настоящие дипломы, не отличимые от оригиналов. Документы будут заверены необходимыми печатями и подписями.
    Мы предлагаем дипломы психологов, юристов, экономистов и других профессий по разумным тарифам. Цена зависит от выбранной специальности, года выпуска и образовательного учреждения. Стараемся поддерживать для заказчиков адекватную ценовую политику. Для нас важно, чтобы документы были доступными для большого количества граждан.
    landik-diploms-srednee.ru/kupit-diplom-v-omske В 
    Успешной учебы!

  43. отзывы о покупке диплома через интернет asxdiplomik24.ru .

  44. Привет!
    Купить диплом о высшем образовании
    Наша компания предлагает выгодно заказать диплом, который выполнен на бланке ГОЗНАКа и заверен мокрыми печатями, водяными знаками, подписями. Диплом пройдет любые проверки, даже при помощи специальных приборов. Решайте свои задачи быстро с нашей компанией.
    Где приобрести диплом специалиста?
    rodina.listbb.ru/viewtopic.php?f=3&t=502
    antonovschool.ru/forum/messages/forum1/topic650/message665/?result=new#message665
    ya.10bb.ru/viewtopic.php?id=3615#p6544
    zxz.listbb.ru/viewtopic.php?f=7&t=1416
    seriallove.bbok.ru/viewtopic.php?id=7015#p123048

  45. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  46. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  47. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *