Waziri wa Nchini Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Angellah Kairuki amebainisha mkakati maalum wa serikali kupitia utekelezaji wa BLUE PRINT wenye lengo la kuondoa vikwazo na changamoto zinazozuia ukuaji wa uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara nchini. Mkakati huo unapendekeza,pamoja na mambo mengine,marekebisho ya sheria mbalimbali,kuondoa urasimu na uratibu mzuri wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: May 2019
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA ZIMBABWE KATIKA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE
PSSSF YATUMIA BILIONI 880 KULIPA MAFAO
Wanachama elfu kumi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wamelipwa takribani Bilioni 880/- ikiwa ni malimbikizo ya Pensheni kwa wastaafu tangu kuanzishwa kwa Mfuko huo mapema mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Meneja Kiongozi, Uhusiano wa mfuko huo Bi. Eunice Chiume amesema kuwa dhamira …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AKABIDHI BIL 1.7 RUZUKU KWA VIJANA TOKA USAID
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo amekabidhi hundi za mfano zenye thamani ya Tsh 1,731,038,850 kwa Taasisi tisa za vijana wa Mikoa ya Mbeya, Iringa pamoja na Zanzibar kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye viwanja vya Sido Jijini Mbeya. Akizungumza katika hafla …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA ZIMBWABWE NA KUSHIRIKI DHIFA YA KITAIFA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI HARARE.
MAKAMU WA RAIS KUFUTURISHA WANANCHI WA PEMBA LEO
RAIS MAGUFULI AWASILI NCHINI ZIMBABWE KWA ZIARA RASMI YA KITAIFA YA SIKU 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2019 amewasili katika Jiji la Harare nchini Zimbabwe ambapo anafanya Ziara Rasmi ya Kitaifa ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa. Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robert …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA NAMIBIA WAZINDUA MTAA WA JULIUS K. NYERERE KATIKA JIJI LA WINDHOEK NCHINI NAMIBIA
ALMASI YENYE THAMANI YA BILIONI 3.2 YAIPAISHA SEKTA YA MADINI TANZANIA
Tanzania imetajwa kuweka historia katika tasnia ya madini baada ya Almasi yenye Karati 512.15 kupatikana hivi karibuni katika eneo la Maganzo Mkoani Shinyanga na kuuzwa kwa jumla ya shilingi Bilioni 3.2. Akizungumza katika mahojiano maalum kuhusiana na madini hayo,Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo amesema kuwa kutokana na kupatikana …
Soma zaidi »MRADI WA RELI YA KISASA (SGR), MWAMBA WA CHANGAMOTO ZA USAFIRISHAJI NCHINI
Na. Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, hatimaye Kigoma na Tanga. Ni dhahiri …
Soma zaidi »