Maktaba ya Kila Siku: August 29, 2019

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA TICAD

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na tekinolojia mpya na ya uhakika ili kufanikisha mkakati wa Seikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli wa kukuza uchumi na kufikia wa kati ifikapo 2015 kupitia sekta ya viwanda. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Agosti 28, 2019) katika …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME DUNDUMWA KILOSA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kitongoji cha Dundumwa, Kijiji cha Ludewa Batini, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo lilifanyika Agosti 27 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme pamoja na kuzungumza na wananchi. Akiwa amefuatana na …

Soma zaidi »

STENDI YA MABASI SUMBAWANGA KUWA YA MFANO MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amewataka wananchi wa Mji wa Sumbawanga pamoja na wakandarasi wa ujenzi wa stendi ya mabasi katika mji wa Sumbawanga kutohujumu miundombinu ya eneo hilo na badala yake wasaidie kuimarisha ulinzi na wakandarasi kujenga kwa uzalendo ili kituo hicho kiweze kuwa nembo ya mkoa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TICAD7- YOKOHOMA, JAPAN IKITOA DOLA BILIONI 20 KUSAIDIA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA

Japan imetangaza kutenga kiasi cha dola za kimarekani bilioni 20 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha Nchi hizo kutekeleza miradi ya kimkakati ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi katika Bara la Afrika huku Tanzania ikikazia mkakati wake wa uchumi wa viwanda. Waziri Mkuu …

Soma zaidi »