Maktaba ya Kila Siku: August 30, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA UNHCR

Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) katika kutatua changamoto zinazotokana na uwepo wa wakimbizi nchini pamoja na kutafuta suluhu ya kudumu kwenye nchi zao ili wakimbizi hao waweze kurejea makwao kuendelea na shughuli za maendeleo Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, …

Soma zaidi »

JICA NA AFDB WATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA UWEKEZAJI AFRIKA

Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Japani (JICA) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametia saini Marekebisho ya Makubaliano (Amendment of MoU) katika ushirikiano wao wa uwekezaji kwa pamoja barani Afrika. Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika,  Dkt. Akinwumi Adesina na Rais wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa …

Soma zaidi »

TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali …

Soma zaidi »