Maktaba ya Kila Siku: August 21, 2019

TANZANIA KUNUFAIKA NA DOLA BILIONI 1.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA

Uhusiano wa Benki ya Dunia na Serikali ya Tanzania umeimarika baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayesimamia nchi 22 zilizoko Kanda ya Afrika, Bi. Anne Kabagambe, kumhakikishia Waziri wa Fedha na Mipango kuwa Benki hiyo iko tayari kutoa kwa Tanzania fedha zote za mkopo wa masharti nafuu kiasi cha …

Soma zaidi »

TANZANIA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI – RC NDIKILO

Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo ,amesisitiza kwamba, Tanzania hususan mkoani Pwani ni salama kwa uwekezaji na amekemea propaganda na uvumi unaoenezwa na baadhi ya watu wasiolitakia mema Taifa kuwa hakuna uwekezaji unaoendelezwa. Aidha amewaasa ,wawekezaji na wenye viwanda kuhakikisha wanasajili namba za utambulisho ya mlipa kodi (TIN …

Soma zaidi »

NCHI 60 KUSHIRIKI MAONYESHO YA UTALII TANZANIA

Zikiwa zimebaki siku 57 kufikia Tamasha kubwa la utalii hapa Nchini linalofahamika kama “Swahili International Tourism Expo” , Bodi ya utalii Tanzania TTB imethibitisha kuwa imejipanga vema kuwapokea wageni toka nchi 60 watakaoshiriki Tamasha hilo. Akizungumza na Waandishi wa Habari  Jijini Dar es Salaam leo , Mkurugenzi wa Bodi ya …

Soma zaidi »