NAIBU WAZIRI NDITIYE AZINDUA UUNGANISHAJI WA SHULE ZA SIMIYU KWENYE INTANETI

  • Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua uunganishaji wa shule za sekondari za Mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti kwa kuzifunga kompyuta mia moja zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kompyuta za mpakato ishirini zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kwenye mtandao wa intaneti ili wanafunzi waweze kutumia huduma ya mtandao kujifunza na waalimu kufundishia kwa njia ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).
  • Nditiye amesema kuwa mradi huu ni mwendelezo wa kazi ya UCSAF kwa kupanua wigo wa mtandao wa intaneti mashuleni ili kutekeleza Sera ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2016 ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wanatumia mtandao wa intaneti kusoma, kupata maarifa na kujiendeleza.
  • “Leo tunazindua uunganishaji huu kwa shule kumi za sekondari za mkoa wa Simiyu ambazo zilipewa kompyuta hizo na UCSAF na Vodacom watakabidhi kompyuta mpakato mbili kwa kila shule pamoja na kifaa maalumu cha kuunganisha huduma ya intaneti kwa shule zote kumi,” amesema Nditiye.
2-01
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akimkabidhi mwalimu wa shule ya sekondari Itilima, Flora Shimbi kompyuta mpakato na kifaa maalumu kwa ajili ya kuunganisha shule za sekondari za mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti. Tukio hilo limefanyika sekondari ya Simiyu mkoani humo
  • Nditiye amewapongeza waalimu kwa kuwa wamekuwa wakikaa na wanafunzi kwa muda mrefu kwa siku nzima hata kwa wanafunzi wanaosoma shule za kutwa kuliko hata sisi wazazi.
  • “Niwaombe waalimu mtumie vifaa hivi kufundishia wanafunzi nanyi waalimu kujifunza badala ya kuviweka kwa kuogopa vinapata vumbi, mvitunze ili visiharibike kwa kuwa Serikali imetumia gharama kubwa kununua,” amesisitiza Nditiye.
  • Vile vile, ametoa rai kwa kampuni nyingine za simu za mkononi kutoa vifaa vyaTEHAMA kwa shule ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhakikisha wanafunzi wanapata huduma ya intaneti ili waweze kujifunza.
1-01
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Bariadi, Mansura Said wa mkoani Simiyu akimweleza Mkuu wa Mkoa huo, Antoni Mtaka namna kompyuta zenye mtandao wa intaneti zinavyowawezesha kusoma masomo mbali mbali. Naibu Waziri wa Uchukuzi na
  • Naye Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amesema kuwa kompyuta
  • zilizogawiwa hazitakaa stoo, zitatumika na kompyuta hizo zitakuwa enki ya mitihani yote na itawezesha wanafunzi wa mkoa kufaulu a wanufaike na intaneti na TEHAMA.
  • “Tuna amini kuwa kila halmashauri kuna Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano nah iiitatusaidia kwa wanafunzi wetu kupata mafunzo kwa kuwa tayari nchi ipo kwenye kiganja na tuna intaneti ya Vodacom ambayo tutaitumia bure kwa mwaka mmoja” amesema Mtaka.
  • Naye Mbunge wa Maswa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameishukuru UCSAF kwa kuupatia Mkoa wa Simiyu kompyuta 100 ili wanafunzi waweze kusoma kwa njia ya mtandao ambapo itawaongezea kiwango cha ufaulu“Tumeona juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe.
3-01
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari za mkoa huo kabla ya uzinduzi wa uunganishaji wa shule kwenye mtandao wa intaneti na kompyuta walizopewa na UCSAF na Vodacom. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye.
  • Magufuli kusema elimu bure zinasaidia watoto wetu kufaulu, nawapongeza waalimu, mnakaa na watoto wetu, kazi yenu ni ya wito, mnawajua watoto wetu, mimi ni motto wa mwalimu na mjukuu wa mwalimu, watoto wetu tukiwafundisha vizuri TEHAMA tutawapeleka mbele zaidi, na dunia ya sasa ni tofauti na wakati wetu tuliosoma, hivyo mna mazingira mazuri nah ii ni fursa ya ninyi kusoma zaidi,” amesisitiza Nyongo.
  • Akizungumza kabla hajakabidhi kompyuta mpakato 20 na vifaa vya kuunganishaintaneti kwa shule za sekondari 10 mkoani humo, Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Roselyn Mworia amesema kuwa Vodacom imetengeneza tovuti ambayo itawasaidia kujifunza zaidi ili wanafunzi waweze kufaulu kwa kuwa ina masomo tofauti na mitaala tofauti na tovuti hii ni bure itawasaidia kusoma na kufanya marejeo ya masomo yao.
  • Naye mwalimu wa shule ya sekondari ya Mkodilana mkoani humo, Joseph Kazimoto amesema kuwa wanamshukuru Mkuu wa Mkoa wao, Mataka kwa kuanzisha kambi ya kuwakusanya wanafunzi kutoka shule mbali mbali mkoani humo na huduma ya intaneti itawawezesha kuongeza ufaulu na wana amini watashika namba moja kitaifa kwa kuwa mwaka jana walishika nafasi ya tisa kitaifa kwa matokeo ya kidato cha nne.
  • Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Meatu, Daudi Mussa amemshukuru Mataka na wageni waliofika shuleni kwa kuwa wamehamasika kusoma na kufaulu zaidi na wameushukuru uongozi wa Mkoa kwa kuwaweka kambi wanafunzi wote wa mkoa huo kwa kuwa wanawasaidia kuandaa maisha yao na kupata mbinu za kujibu maswali na sio kukariri.
  • Huduma hiyo ya mtandao wa intaneti imetolewa na kampuni ya Vodacom kwa muda wa mwaka mmoja kwa kuzipatia shule za sekondari kumi za Mkoa wa Simiyu kifaa maalumu cha kutoa huduma hiyo kwenye shule hizo. Shule za sekondari ambazo kompyuta zake zitaunganishwa kwenye huduma ya intaneti ni shule ya sekondari ya Simiyu, Maswa, Dutwa, Binzwa, Anthony Mtaka, Meatu, Nasa, Mwandoya, Itilima na Kanadi.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TRA – WAFANYABIASHARA MSIJIHUSISHE NA BIASHARA ZA MAGENDO

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara na wachuuzi wanaoishi jirani na fukwe za Bahari …

178 Maoni

  1. The rise of 20-year-old midfielder Jamal Musiala https://bavaria.jamalmusiala-br.com to the status of a winger in the Bayern Munich team. A story of incredible talent.

  2. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  3. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  4. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  5. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  6. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  7. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  8. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  9. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  10. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  11. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  12. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  13. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  14. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  15. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  16. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  17. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  18. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  19. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  20. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  21. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  22. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  23. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  24. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  25. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  26. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  27. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *